Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Kisimamo cha Port Sudan…
Ijumaa, 20 Rabi' I 1447 - 12 Septemba 2025
Kujibu kwa takbira, tahlil, na uungaji mkono, pamoja na vyombo vya habari na uhamasishaji wa kisiasa, kisimamo kilifanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan kutibua mpango wa kujitenga kwa Darfur kilifanyika mbele ya Msikiti Mkuu mjini Port Sudan. Waumini walikusanyika baada ya swala ya Ijumaa, 20 Rabi' al-Awwal 1447 H - 12 Septemba 2025 M, kwenye Msikiti Mkuu mjini Port Sudan kwa ajili ya kisimamo hicho ikiwa ni sehemu ya kampeni ya hizb kutibua mpango wa kujitenga kwa Darfur.
Kukamatwa kwa Mamia ya Waandamanaji Wanaounga Mkono Palestina kwa Amani…
Mnamo Jumamosi, tarehe 6 Septemba, karibu watu 900 walikamatwa katika maandamano ya kuunga mkono Palestina…
Sudan: Giza la Muundo wa Makubaliano au Nuru ya Katiba…
Haishangazi kwa mtu yeyote anayefuatilia hali ya kisiasa nchini Sudan kujua kwamba vita hivi viliratibiwa…
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
Sisi, katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, tunafuraha kuwaalika ndugu zetu wanahabari, wanasiasa, na…
Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi Salih bin Muhammad al-Shafrah
Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia inaomboleza mmoja wa Mashababu wake, ndugu Salih bin…
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha…
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kimezindua kampeni ya…